watoto wa jamii ya kihadzabe
Jamii ya Wahadzabe wameiomba serikali kuwapatia mahitaji muhimu watoto wao waliyowaruhusu wasome kwani sasa hawapatiwi huduma muhimu kama chakula,nguo,na nk.
Akizungumza na mwandishi wa habari mwenyekiti wa waaabe amesema kuwa,kwa sasa wameelimika na wapo tayari kutoa watoto wengi zaidi ili wapate elimu ila tatizo lio seriklini
Akiwakabidhi zawadi ya vyandarua na mapazia bw.Emanuel Mkumbo amesema kuwa,watoto hao kwa sasa wanatakiwa kusoma bila kukumbukan porini walipotoka
Amesema ili hilo liwezekane jamii kwa ujumla inabidi ijitolee kwa hali na mali ili watoto wawe na furaha ya kukaa katika bweni
Serikaliiliwakusanya watoto wa kihadzzabe na kuwajengea mabweni ili kuwatunza na kuwapa eelimu kama wengine
watoto wa kihadzabe wakiwa na wana CCM
Post a Comment