TUMKUMBUKE ” BABIA NDONGA CHOKORO ” TAFSIRI YA WIMBO ” AMEN “
MSANII MWANAMUZIKI BABIA NDONGA KAFARIKI JANA TAREHE 08-10-2014 JIJINI LUANDA ( ANGOLA )
TUNAWALETEA TAFSIRI YA WIMBO WAKE ” AMEN ” UNAO PATIKANA KWENYE ALBUM ” MAGIE “
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALA PEMA !!! AMINA
Ameeeeeeeeeeeen
Notre Père qui est aux cieux, yo moko oza mona, mapamboli tozwa / BABA YETU ALIE MBINGUNI,MWENYEWE WAONA BARAKA ZAKO ZIMETUFIKIA
Quartier Latin anti dopage / QUARTIER LATIN NI KIKOSI KINACHO PAMBANA NA MADAWA YA KULEVYA!!!
Nzambe ozomona, Le Chokoro babia Ndonga azwa mapamboli!! MUNGU MWENYEWE KAYAONA, BABIA NDONGA KABARIKIWA
Papa na ngai motu ya pasi, mama aboti ngai nde mobola,/ BABA YANGU NI KABWELA ASIE NAKITU, MAMA YANGU MZAZI PIA NI MASKINI
Motema etonda posa ya kokabela mozangi, okokaba nini eee,/ MOYO WANGU WAJAWA NA NIA YAKUWASAIDIA MASKINI, SASA NTAWASAIDIAJE ILHALI MWENYEWE SINA UWEZO!!!
Nzambe na sengi se na yo ooo, bomengo oo bwanya mayele eeee, ooo bwanya aaaa. / NTAKACHO KUOMBA MUNGU WANGU UNIJAALIE KIPATO, BUSARA NA HEKIMA
Ngai papa na ngai motu ya pasi, mama aboti ngai nde mobola,/ BABA YANGU NI KABWELA ASIE NAKITU, MAMA YANGU MZAZI KADHALIKA NI MASKINI
Motema etonda posa ya kokabela mozangi, okokaba nini eee,/ MOYO WANGU WAJAWA NA NIA YAKUWASAIDIA MASKINI,NTAWASAIDIAJE ILHALI MWENYEWE SINA UWEZO!!!
Nzambe na sengi se na yo ooo, bomengo oo bwanya mayele eeee, bwanya aaaa. / NTAKACHO KUOMBA MUNGU WANGU JAALIA NIPATE KIPATO, BUSARA NA HEKIMA
Bomengo po nini eee nalelaka na Nzambe ee/ UTAJIRI KWANI KITU GANIII, HUA NAMLILIA BABA MUNGU WANGU
Eli Eli lama saba tani, lokola Yesu na ngomba ya golgota eee Nzambe po nini yo otiki nga eee / ELIA ELIA LAMA SABACHTHAMI, KAMA KILIO CHA YESU AKIWA KWENYE MLIMA WA GOLGOTHA!!!
Bomengo po nini eee nalelaka na Nzambe ee /UTAJIRI KWANI KITU GANI, HUA NAPELEKA KILIO CHANGU KWA BABA MUNGU.
Eli Eli lama saba tani, lokola Yesu na ngomba ya golgota eee Nzambe po nini yo otiki nga eee /ELIA ELIA LAMA SABACHTHAMI, KAMA KILIO CHA YESU AKIWA KWENYE MLIMA WA GOLGOTHA!!! MUNGU WANGU MBONA UMENIACHA!!!
Bomengo po nini ee na tunaka aa na maman, / UTAJIRI KITU GANI !!! LIPO SWALI HUA NAPENDELEA MAMA YANGU ANIJIBU.
Est ce que babota nga po na niokamaka, aaa ngai nalembi bo pauvreté eee / KWANI MMENILETA HAPA DUNIANI ILINIJE KUTESEKA ? NACHOSHWA SANA NAUMASKINI
Bomengo po nini ee na tunaka aa na maman,/ UTAJIRI KITU GANI !!! LIPO SWALI HUA NAPENDELEA MAMA YANGU ANIJIBU.
Est ce que babota nga po na niokamaka, aaa ngai nalembi bo pauvreté eee / KWANI MMENILETA HAPA DUNIANI ILINIJE KUTESEKA ? NACHOSHWA SANA NAUMASKINI
Bomego po nini ee okoma koleka ngai na mosika,/ UTAJIRI KWANI KUNANINI, PESA NAZIONA KWAUMBALI
Na sala yo na nini ee nzoka nayebi que mobola pe azwaka, po nini ngai te eeee / MBONA SIJUI KIPI KIBAYA NILICHO KUTENDEA, INGAWA BADO NAKAA NIKIWA NA IMANI KWAMBA, IPO SIKU YULE AMBAE NI MASKINI HUTOKEA KUA TAJIRI, MBONA KWANGU MIMI BADO !!!
Bomego po nini ee okoma koleka ngai na mosika, / UTAJIRI KWANI KUNANINI, PESA NAZIONA KWAUMBALI
Na sala yo nini ee nzoka nayebi que mobola pe azwaka, po na nini ngai te eeeaaaaah / MBONA SIJUI KIPI KIBAYA NILICHO KUTENDEA, INGAWA BADO NINAYO IMANI KWAMBA, IPO SIKU YULE AMBAE NI MASKINI HUTOKEA KUA TAJIRI, MBONA KWANGU MIMI BADO !!!
Bomengo na sala yo nini aaa , naluka yo na ba boulot, na mo mbongo pe na losambo,/ UTAJIRI KWANI KOSA LANGU NINI ?,KAZI NAIFANYA KWA BIDII, KAMA NI MAOMBI KILA SIKU NATOA MAHITAJI YANGU.
Yeba ba kati ngai maboko te eee mongongo pe ezali ya Nzambe eeee / JUA YAKWAMBA BADO NINAYO MIKONO YANGU ,NA SAUTI YANGU NI ZAWADI KUTOKA KWA BABA MUNGU!!!
Bomengo ozala ata benja, na yemba yo na loyembo,/ UTAJIRI UNGELUKUA BASI WEWE NI BENJA ILI NIPATE FURSA YAKUKUTUNGIA WIMBO
Lokola Wendo ayembaka Marie Louisa, Kiabukuta ayembaka Babi ii, mbambula ya Koffi Acraaaaame eee. / KAMA VILE WENDO KAMTUNGIA WIMBO MARIE LOUISA, KIAMBUKUTA KAIMBA WIMBO BABII, MBAMBULA IKAIMBWA NA KOFFI OLOMIDE ACRAMEEE
Bomengo ozala ata benja, na yemba yo na loyembo,/ UTAJIRI UNGEKUA BASI WEWE NI BENJA NIPATE FURSA YAKUKUTUNGIA WIMBO
lokola Wendo ayemba Marie Louisa, Kiabukuta ayemba Babi ii, mbambula ya Koffi papa toooop eee. / KAMA VILE WENDO KAMTUNGIA WIMBO MARIE LOUISA, KIAMBUKUTA KAIMBA WIMBO BABII, MBAMBULA IKAIMBWA NA KOFFI PAPA TOOOPE
Nsango ya babia bakobelela na monde entier ahaha / HABARI ZA BABIA ITAZAGAA ULIMWENGUNI KOTE!!!
Nzambe yoka kolela oyo ya bana na yo ooo aaah mama aaa / BABA MUNGU SIKIA KILIO CHA WANAO
kotika te Alise baba amona se pasi iii aaah mama aaa / WALA USIMUACHE ALISI BABA KATIKA SHIDA
Yo moko osala biso Nzambe yaka kotala biso aa ah aa / ALIETUUMBA NI WEWE, BASI BABA MUNGU TUTIZAME
Oooo kotika te le vieux Manzekou amona ba pasiii aah mama aa / USIMUACHE MZEE MANZEKOU KWENYE MATATIZO
Ehh Nzambe yoka kolela oyo ya François Baniota aah mama ee / MUNGU BABA SIKILIZA KILIO CHA FRANCOIS BANIOTA
Nzambe yoka ata kolela oyo ya Lebou Kabuya aa mama eee / BABA MUNGU SIKIA BASI KILIO CHA LEBOU KABUYA
Losambo na ngai bakobele na monde entier aa mama aaeee / MAOMBI YANGU YASIKIKE POPOTE PALE DUNIANI
Bomengo atandele, aa maman aaeee (2x) / UTAJIRI IPO SIKU
Tutu Roba mwana londre papa na … Tokotika Izé bola amona se pasi / TUTO ROBA WEWE AMBAE NI MTOTO WA LONDON, BABA YAKE YA …USIMTUPILIE IZE BOLA NAKUMUACHA ATESEKE
Yo moko osala biso Nzambe yaka kotala biso aa ah aa / ALIETUUMBA NI WEWE, BASI BABA MUNGU TUTIZAME
Kotika te quartier latin bazanga.. / USIIACHE QUARTIER LATIN WAWE KATIKA HALI YA UKOSEFU
Eeee Nzambe yoka kolela oyo ya papa na Rocky iii / EH MOLA SIKILIZA KILIO CHA BABA ROCKY !!!
Nzambe yoka kolela oyo ya bana babola eeeehh / BABA MUNGU SIKIA KILIO CHA WANAO WALIO MASKINI
Losambo na ngai nakobelela na monde entier eee / MAOMBI YANGU YASIKIKE POPOTE PALE DUNIANI
Bomengo atandele, aa maman aaeee (2x) / UTAJIRI IPO SIKU !!! MAMA AAEE !!!
Post a Comment