0
Aliekuwa video Queen wa wimbo wa Noorah "Ice Cream" akimshirikisha Suma Lee uliosumbua station za tv kibao Tanzania takriban miaka 6 iliyopita, sasa ni muathirika mkubwa wa madawa ya kulevya


KABLA HAJAWA MTEJA
hapa enzi zake akiwa mrembo enzi za ice cream ipo hot 

video Queen huyo, ambae alikuwa anaitwa Doreen, sasa ni teja anaepatikana maeneo ya Sinza Makaburini, Inasemekana ana hali mbaya sana hasa tumbo likiwa limemvimba sana mithili ya mwanamke mwenye mimba huku miguu yake ikiwa imemvimba na hali yake kuwa dhoofu sana.

HAPA SASA NI TEJA LA KUTUPA 

Hata kwa kumuona tu na kutoa msaada haraka itakua vyema  maana  miguu yake imevimba sana na tumbo lake likiwa kubwa huku akiwa hana ujauzito wowote, this is very sad indeed kwa Doreen . 

Kwa yoyote anayeweza kumsaidia mrembo huyu  ni vyema kufanya hivyo ili kuokoa maisha yake yaliyopo hatarini

Post a Comment

AddThis

 
Top