Na Neema jua Doddoma.
Waziri wa maji kupitia mpango wa BRN,kuanzia mwaka 2013 hadi sasa,imefanikiwa kuwafikishia maji wananchi milioni 4.3 wanaoishi maeneo ya mijini
Aidha zaidi ya watu milioni 2 wanaoishi maeneo ya vijijini wamepatiwa huduma ya maji kupitia BRN
Waziri wa maji profesa jumanne maghembe ameyasema hayo jana mjini Dodoma alipokuwa akizungumzia utekelezaji wa mpango wa matokeo makubwa sasa BRN chini ya wizara ya maji katika ukumbi wa Fr.Vicent uliyopo ndani ya hotel ya St.Gasper
Profesa Maghembe amesema kuwa,mpango huo wa BRN umeonyesha kwa muda mfupi tofauti na ule mpango wa Taifa wa maji uliyonza mwaka 2017 hadi mwaka 2014
Amesema serikali kupitia mpango wa BRN itahakikisha inawafikishia wananchi maji katika maeneo mbali mbali ili kuwapunguzia kero ya maji
Kadhalika Maghembe amewataka wafanyakazi wa mamlaka za maji hapa nchini kufanya kazi kwa kasi kubwa na sio mazowea
Katika mkutano huo viongozi wa mamlaka za maji safi na usafi wa mazingira za miji mikuu ya mikoa zimetia saini makubaliano ya miradi ya maji na mazingira kwa kutumia utaratibu wa BRN
Picha za tukio
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mheshimiwa Chiku Galawa
Waziri wa maji profesa Maghembekushoto Mheshimiwa Chenge katikati
Mheshimiwa Maghembe kushoto mheshimiwa Amosi Makala kulia
Mheshimiwa Chenge kulia Mheshimiwa Amosi Makala kulia
Waheshimiwa makala na Chiku galawa wakieta jambo
Waandishi wa habari kushoto Happness Mtweve (Uhuru Gazeti) kulia Neema Jua Goyayi (Radio Mwangza /www.neemajua.blogspot.com),mstari wote huo mpaka mwisho ni sehemu ya waandishi wa habari na wengine hawapo katika picha kiujumla wakienedeleza majukumu ya habari katikamkutano huo
viongozi mbali mbali wa mamlaka za maji wakizungumza na waandishi wa habari
nje ya ukumbi Wazri wa maji Pr.Maghembe aliendelea kuwaelimisha wana habari kuhusu mpango wa chini ya Wiazara ya maji.
Post a Comment