0
 KLABU ya Manchester City imebeba taji la ligi kuu nchini England kwa mara ya pili katika misimu mitatu na mchanaaaa watafanya sherehe kubwa katika dimba lao la Etihad kushangilia mafanikio hayo.

 Magoli ya Samir Nasri na Vincent Kompany yaliisaidia Man City kushinda mabao 2-0 dhidi ya West Ham na kufanya ushindi wa mabao 2-1 waliopata Liverpool kwenye uwanja wa Anfield dhidi ya Newcastle usiwe na maana yoyote.

 Baada ya kipyenga cha mwisho kupulizwa, maelfu ya mashabiki wa Man City waliingia uwanjani kuwapongeza mashujaa wao.
Tazama picha hapo chini jinsi Man City walivyoshangilia kubeba ubingwa wa EPL.
 Wakati wa furaha: Pellegrini akipozi katika picha na kombe lake la kwanza Man City
  Maneno ya shukurani

 Maelfu ya mashabiki wa Man City walivamia uwanja wa Etihad baada ya kipyenga cha mwisho 

Mzee wa familia: Kompany akiwa katika pozi la picha kwa kushika kombe la ligi kuu pamoja na familia yake
 Shangwe tupu Etihad, ubingwa raha sana

Post a Comment

AddThis

 
Top