HII SASA SIFA! PICHA NYINGINE ZA POLISI DODOMA, POLISI TABORA WALIVYOPIGA WAAMZI TABORA 1:21 AM Neema jua 0 A+ A- Print Email Picha nyingine zinazoonyesha wachezaji wa Polisi Dodoma (mbili za juu) na Polisi Tabora (picha ya chini) wakimpiga mwamuzi.Hii ilikuwa ni katika mechi mbili tofauti za Ligi Daraja la Kwanza Tanzania Bara kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.Hii ni aibu kubwa kwa soka nchini na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) linapaswa kuchukua hatua kali kwa wachezaji hao ili iwe mfano
Post a Comment