0
KOCHA wa Atletico Madrid, Diego Simeone anaamini timu yake ina safu kali ya ushambuliaji na kusema hana mpango wa kumsajili mshambuliaji wa Chelsea, Fernando Torres.
Mabingwa hao wa Hispania walimpoteza Diego Costa na David Villa katika safu yao ya ushambulaiji majira ya kiangazi mwaka huu, lakini wamefanikiwa kumsajili Mario Mandzukic, Antoine Griezmann na Raul Jimenez katika wiki za karibuni.
Kwa usajili huyo, Muargentina huyo anahisi safu ya ushambuliaji imekamilika , hivyo hana nia ya kumsajili mshambuliaji wa Chelsea.
“Nadhani unapokuwa kocha na hauna uwezo mkubwa wa kiuchumi lazima uendane na mazingira,” aliwaambia La Sexta.
“Nina furaha. Nadhani baada ya kumsajili Jimenez tumepata kile tunachokihitaji kama timu”.
“Nadhani kuwa na Antoine Griezmann, Raul Garcia, Mario Mandzukic na Jimenez inamaanisha tuna nguvu ya kutosha”.
- See more at: http://shaffihdauda.com/?p=5071#sthash.01SELm2o.dpuf

KOCHA wa Atletico Madrid, Diego Simeone anaamini timu yake ina safu kali ya ushambuliaji na kusema hana mpango wa kumsajili mshambuliaji wa Chelsea, Fernando Torres.

Mabingwa hao wa Hispania walimpoteza Diego Costa na David Villa katika safu yao ya ushambulaiji majira ya kiangazi mwaka huu, lakini wamefanikiwa kumsajili Mario Mandzukic, Antoine Griezmann na Raul Jimenez katika wiki za karibuni.
Kwa usajili huyo, Muargentina huyo anahisi safu ya ushambuliaji imekamilika , hivyo hana nia ya kumsajili mshambuliaji wa Chelsea.
“Nadhani unapokuwa kocha na hauna uwezo mkubwa wa kiuchumi lazima uendane na mazingira,” aliwaambia La Sexta.
“Nina furaha. Nadhani baada ya kumsajili Jimenez tumepata kile tunachokihitaji kama timu”.
“Nadhani kuwa na Antoine Griezmann, Raul Garcia, Mario Mandzukic na Jimenez inamaanisha tuna nguvu ya kutosha

Post a Comment

AddThis

Top