0


 BAADA YA YA BINTI WAKE DAIDA MPIANA,KUFANYA VIZURI CHUONI ,NA KUFAANIKIWA KUPATA SHAHADA,


JB MPIANA KAMUANDALIA SHEREHE KABAMBE SAANA, NA MMOJA WAWAALIKWA AKIWA WERRASON NGIAMA MAKANDA,KAJA KUMPONGEZA BINTI HUYO KWAKUMWAGIA MAPESA WAKATI WAKISAKATA DANSI.
KWENYE SHEREHE HIYO,MTAMUONA  FALLY IPUPA AKIDUMBWIZA WIMBO  ” ORIGINAL “, WALIKUWEPO PIA ADOLPH DOMINGUEZ, NA KADHALIKA.
PONGEZI ZETU KWAKO DAIDA MPIANA.

Post a Comment

AddThis

 
Top