SIO MBAYA UKIANGALIA KWA DK 2 ALICHOKISEMA DIAMOND BAADA YA KUPATA TUZO YA AFRIMMA (VIDEO)
Weekend ya usiku wa kuamkia July 27 2014 ndio Diamond na Lady Jaydee wametangazwa kuwa washindi wa tuzo kwenye tuzo za AFRIMMA2014 zilizotolewa nchini Marekani zikiwa zimewashindanisha mastaa wakubwa wa Afrika kama vile Davido, Mafikizolo, 2Face na wengine.
Kama ulitamani kuona Diamond akihojiwa baada ya ushindi huo hii ndio time yako mtu wangu…
Post a Comment