0


Mke wa Kingwendu amabye nay eye ni muigizaji maarufu wa filamu za vichekesho nchini  amefanyiwa kitendo kibaya cha ubakajinamwanume aliyefahamika kama upunguvuku katika pagale moja huko mbagala kingungi kwa kisauti

Mke wa kingwendu anayejulikana zaidi kwa jina la mama maua amekutwa na mahasibu hayo alhamisi iliyopita baada ya kuvamiwa na upunguvuku anayedaiwa kuwa alikuwa amelewa na kisha mumuingiza katika pagale hilo lililopomaeneo ya kwa dunga ambapo wapita njia waliawafuma na kuanzishamtiti

Shuhuda wa tukio hilo ambaye hakutaka jina lake liandikwe amesema kuwa,wakati tukio hilo linatokea kingwendu alikuwa safarini na hivyomajiranizake ndiyo waliyomuokoa mkewe

Hata hivo majirani hao waliyoongea na blog hii wamedai kwamba wawilihao upunguvuku namama maua ni wapenzi wa siku nyingi na wamekuwa wakionekana mara kadhaa wakienda kunywa pombe za kienyeji 

NANUKUU
Huuyu upunguvukuna mama maua ni wapenzi mara kibao wanonekana wanakunywa pombe za kienyeji ila kwa kuwa leo wamefumwa ndo huyu mwanmke anadai kabakwa 

Juhudi za kumpata kingwendu kuzungumza nae kuhusu tukio hili hazikuzaa matunda kwani kila alipopigiwa simu yake ya mkononi haikupatikana 

Post a Comment

AddThis

 
Top