NI LONG TIME HUJAWAONA P SQUARE WAMEPEWA KOLABO TAZAMA HII HAPA MPYA
Labda inawezekana ni utaratibu waliojiwekea P Square wenyewe
Labda ni utaratibu ambao pamoja na kwamba huonekana mara chache wakiwa wameshirikishwa kwenye nyimbo na Wasanii wengine wachache wa Afrika, huwa inatokea mara chache sana.
Miongoni mwa wachache waliopata nafasi ya kufanya kolabo na P Square ni huyu mshkaji anaitwa Phyno na video yenyewe ndio hii hapa chini.
Post a Comment