Nyota wa nyimbo za injili nchini Tanzania Bahati Lusako Bukuku ameumia mgongo na maeneo kadhaa yamwili kiasi cha kushindwa kukaa,kusimama wala kutembea kufuataia ajali mbaya iliytkea eneo la ranchi ya Narco wilayani kongwa mkoani dodma majira ya saa tisa usku wa kuamkia jumamosi
Katika ajali hiyo ambayo bahati alikuwa kahama shinyanga kwenye mkutano wa injili,dereva wa gari alilokuwa akisafiria aina ya Toyota nadia lenya namba za usajili IT 7945 Edson Mwakabungu Eddy (31) ameumia sana kwenye vidole vya miguu na hawezikutembea
Wengine waliyokuwamo kwenye ajali hiyo ni wacheza show wa bahati frank muha (20) na mwenzake amabe jina lake halijapatikana mara moja
Juzi nilimpigia sim bahati bukuku ambaye alikuwa anaongea kwa shida sana lakini alisema haya
Ni kweli tumepeata ajali nimeumiamgongoni na dereva ameumia mguu,Namshukuru MUNGU sijui nini militokea,nilistukia kuona gari kubwa mbele yetu likituvaa namara nikastukia tupo porini ,,Lakini kabla hatujaondoka dare s salaam tulifanya maombi makubwa najua mungu ametunusuru na kifo kibaya
Kwa kumbu kumbu zinaonyesha kwamba hii si mara ya kwanza kuripotiwa kwa ajali za magari mkoani Dodoma zinazowahusisha bongo movie,waimbaji wa injili,wanamuziki kwa ujumla
April mwka mkurugenzi wa msama promotion Alex Msama alipata jail mbaya ya garikwa kugongana na mwendesha bodaboda.ajali hiyo ilitokea ipagala mwisho kilomita chache kabla ya kufika mjini Dodoma.Msama alikuwa kwenye gari lake Toyota mark 11GX 100
Katika ajali hiyo Msama na mwendesha bodaboda huyo waliumia sehemu mbali mbali zamwili na kukimbizwa katika hospitali ya Mkoa wa Dodomakwa matibabu
Kabla ya ajali ya msama haijapoa,mei mwka huu Edson mwasabwite naye alipata ajalikatika barabra kuu ya dodoma - morogoro alikuwa kaitoka dodoma kurudi dar es salaam lakini alinusurika
Post a Comment