IMANI NI DAWA UKIAMINI UNAPONA ILA UKIWAAMINI VIZIMUNGALA LAZIMA MAISHA YAKO YAHARIBIKE ANGALIA VIDEO HII YA KIZIMUNGALA FUATA UJUMBE MZITO HUMU ILI UMWAMINI MUNGU
Ni kweli lakni unaamini nini na wa wakati gani na hicho unachoamini haina madhara kwakona kizazi chako ?
Ukweli ni kwamba unapoamua kwenda direct kwa mganga wa kienyeji eti akutatulie shida zako hiyo inaonyesha live kuwa humuaini mungu na unamuamini mganga ambaye ni binadau mwenzako tena anamuoba mungu kama wewe
Kama ni hivo kwanini usijiombee mwenyewe mpaka uende kwa mganga eti niombee au nichange au nipake dawa au niogeshe kama wanazvosema watoto wa mjini kuwa UNA KWENU NENDA KAOGE,hiyo katika binadamu mwenye akili timamu haingii akilini hata kidogo
We unaweza ukapima mwenyewe maisha yanataka nini na kwa wakati gani na nini unatakiwa ufanye ili ufanikiwe sio kwenda kwa mganmaga ili uwe tajiri au upate rizki huo sio ukweli ni uwongo mtupu
Ukiona huwi bilionea tambua kuwa rizki yako imeishia hapo maana katika maisha mungu katuumba kwa tofauti na sababu maalumu sasa usilazimishe maji yapande mlima kisa mganga kasema kuna fulani alikuja hapa alikuwa masikini kama wewe lakinileo ana majumba na magari tele
Tambua wazi mganga hajampani mungu ndiyo aliyomwandikia hiyo rizki usiamini uwongo wa binadamu mwenzio kisa ana mapembe na tunguli jumlisha na kaniki
Muamini mungu na ipo siku atakupa iliradi upo duniani kwa makusudi yake mungu
Baada ya kusema hayo tazama wimbo huu hapa KIZIMUNGALA BY FM ACADEMIA UTUNZI WAKE KING BLAISE
Post a Comment