ADAMU MCHOMVU NA FETTY WAMETAFUTA KIKI YA KISHAMBA KWANZA IME FAIL WALA HAIJA KIKI
Adamu mchomvu na Dj fetty wanajihisi ni watangazaji lakini sio watangazaji ni wapayukaji Sababu ni hizi hapa
1,Fetty akiwa anatangaza ana speed ya kuongea utadhani cherehani au anasoma mashairi kitaratibu za utangazaji yupo out
2.fetty anacheka sana kwenye mic utadahani ndege kapigwa na manati
3.sauti yake kavu haifai kutangaza ila inafaa mashauzi classic tena angefit sanaa
KWA MCHOMVU
1.Sauti yake ni ya kuimbia kwaya za kikatoliki tena sauti ya nne sababu akiongea kwenye mic haleti ladha
2.huwa anaongea kama mwalimu wa lugha fulani katika isiyo ya kiswahili
TUONE KESI YAO YA JANA KUPIGANA STUDIO
Moja kwa moja ni wametafuta kiki ya kishamba sababu hakukuwa na sabau ya kugombania ku release kitu fulani
Msingi wa ugomvi wao ni kutaka kuonyesha wao wana uwezo fulani lakini sio kweli kitaalamu hiyo ni kiki na ime fail haija kiki
kama ni issue ni hiyo si waoe hiz albu tuone kuna haja gani ya kujifanya wanapigana kiuwongo wakati hata haileti maana na ladha ya kisa chenyewe
Kifupi wapo outof kiki yaani kiki waliyotafuta ni ya ishamba na ime fail wala haija kiki
Post a Comment