Kama kiu yako ni kufahamu pia kuhusu hiphop yenye nguvu duniani na iliyofanikiwa kuchukua nafasi kwenye countdown za nchi kubwa kama Marekani, UK, France, Australia na kwengine… hii ni time yako
Kwa mara nyingine tunajiunga na kituo cha TV cha kimataifa cha Trace Urban cha Ufaransa kuangalia hii top 10 yao ya nyimbo kali za hiphop wiki hii.
1. Future na Kanye West – I won
Nicki Minaj – Pills and Portions
Kidd Ink ft. Chris Brown na Tyga – main chick remix
Future ft. Pharrell na Pusha T – Move that dope
Migos – fight night
K Camp ft. 2 Chainz – cutt off her
Wiz Khalifa – We dem boyz
Iggy Azalea – fancy ft. Charli XCX
School Boy – studio ft. Bj The Chicago Kid
Post a Comment