KUTOKANA NA MUALIKO WA RAIS BARACK OBAMA, MA RAIS 47 WA INCHI ZA AFRICA WATASHIRIKI KWENYE KIKAO CHA MKUTANO UTAKAO FANYIKA KWENYE IKULU YA MAREKANI ” WHITE HOUSE “, TAREHE 6 NA 7 MWEZI WA NANE MWAKA HUU.
UKIWAONDOA MA RAIS, MUALIKO UMETOLEWA PIA KWA WASANII WANAMUZIKI 10 KUTOKA BARANI AFRICA, AKIWEMO KIJANA FALLY IPUPA DICAP LA MERVEILLE EL MARABIOCHO. AMBAE NDIE ATAKAE IWAKILISHA AFRICA YA KATI.
MADHUMUNI YA MKUTANO HUO, NIKUIMARISHA USHIRIKIANO KATI YA INCHI ZA AFRICA NA MAREKANI.
KWELI FALLY IPUPA NDIE ATAKAEKUA MWANAMUZIKI WA KWANZA KULISAKATA RUMBA KWENYE IKULU YA ” WHITE HOUSE “? WAIT AND SEE
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment