0



Maandamano yakupinga mabadiriko ya Sheria ya Uchaguzi Inchini CONGO, yapelekea Waandamanaji kuharibu Ofisi Tarajiwa ya Kampuni  » KOFFICENTRAL  » inayo milikiwa na KOFFI OLOMIDE MOPAO.
KOFFI OLOMIDE , ni Msanii pekee kati ya wale waishio Inchini CONGO, ambae katunga Nyimbo za Kizalendo,  » AFFAIRE D’ETAT, CONGO MON AMOUR « , haelewi kabisa kwanini kasakamwa na Waandamanaji hadi kupelekea Mali yake kuathirika kwa kiasi hicho.
Hatimae Serekali ya Congo kupitia Spika wa Bunge Mheshimiwa AUBIN MINAKU, yaondoa kabisa Kipengele cha Katiba kinacho husisha Muswada we sensa kabla ya Chaguzi. Muswada ambao ndio chanzo chenyewe cha Vurugu. Wapinzani Inchini humo washeherekea…

Post a Comment

AddThis

 
Top