0


Kwenye mahojiano yake na mtangazaji  » HELENE KALEMA « , HERITIER WATANABE  kayaongelea mengi kuhusiana na Kazi yake ya Muziki :
1. Mengi Mabaya yamesemwa kwa ajili yangu, Eti Mimi ni Mkosefu wa adabu, Mimi nakaa nyumbani kwa WERRASON, hata Chai ya Asbuhi nilazima nitumie nikiwa kwa WERRA, nanunuliwa nguo na WERRASON nakadhalika…
2. Sijawahi kua Mwanamuziki wa WENGE BCBG hapana, fanyeni uchunguzi na mtaligundua hilo. Ukweli nikwamba kuna Kaka zangu walio nipeleka ilinipate kuonana na Mzee wangu JB MPIANA, Baada yakuniona , JB MPIANA kanishauri nirudi kwanza Shule, kasema ingekua vizuri zaidi niwe na SHAHADA. na kweli niliufwata ushauri wake na nikarudi Shule.
Pindi tuu nilipo faanikiwa kupata Shahada,Kaka yangu MATOU MABALA kaja kunichukua na kunipeleka WENGE MUSICA MAISON MERE KWA WERRASON. Nilivyo Jiunga nao, WERRASON pia kanishauri niendelee na Chuo Kikuu,  Nimimi Mwenyewe ndo nikaamua kubaki Mwanamuziki kamili.
3. Wala Sintochoka kutoa Shukrani zangu kwa WERRASON, HAIJAMAANISHA KWAMBA NTABAKIKUA MWANAMUZIKI WA WENGE MUSICA MAISON MERE MILELE, HAPANA, MTU PEKEE ATAKAE BAKI KWENYE GROUP HILO HADI KUFA KWAKE NI WERRASON PEKEYAKE. SISI WENGINE WOTE TUTAONDOKA, KWAKUA SOTE NIWAFANYAKAZI. ILA KILA MTU ATAONDOKA KIVYAKE NA KWA WAKATI WAKE.
NDIVYO MAISHA YALIVYO, NAKAMA HUJAJIONDOA MWENYEWE KWA HIARI YAKO, BASI JUA IPO SIKU UTATUPWA INJE KWA NAMNA MOJA AU NYINGINE.
YAMUNGU NI MENGI, YAWEZA KUTOKEA SIKU MOJA KAJA KIJANA MUIMBAJI MZURI KUNIZIDI, WERRASON YUKO HURU KUCHUKUA UAMUZI WAKUNIONDOA KWENYE GROUP KUTOKANA NA MAFAANIKIO YANGU YASIO RIDHISHA.
4. Kikubwa ninacho kisikitikia kwenye Kazi yangu ya Muziki, nikuona Bado sijapewa Tuzo langu la Pekee, hilo lingetokea kama Shindano la  » NDULE AWARDS  » lisinge hairishwa Mwaka 2011, kwakua Wimbo wangu  » REMISE ET REPRISE  » ulikua Juu sana kati ya Nyimbo zilizo pendwa Jijini KINSHASA.
CHAMAANA ZAIDI NIKUONA GROUP LETU LIMEKUSANYA TUZO KIBAO, NAMI NAJIONA KAMA MUHUSIKA MKWABWA KWENYE GROUP, NIMECHANGIA KWAKIASI KIKUBWA KWA MAFAANIKIO YA GROUP LETU.
TOKEA PALE NILIPO JIUNGA NA GROUP WENGE MUSICA MAISON MERE MWAKA 1999, CHATI YANGU IPO JUU HADI LEO. NTASEMA KIPAJI CHANGU KILIDHIHIRIKA ZAIDI BAADA YA KUJIONDOA KWA AKINA ( FERRE GOLA, JUS D’ETE…).WAO WALIKUA ZAIDI YANGU.
NATOKEA WAONDOKE HAO, NA WERRASON KANIPA NAFASI YAKUJIELEZA, HADI LEO HII SIJAYUMBA KABISA? KIWANGO CHANGU KIPO JUU. WAPO WENGI WALIO NA VIPAJI ILA BADO HAWAJAWA NA MAFAANIKIO KAMA MIMI.
5. Natoa shukrani zangu kwa nyote mnao endelea kunisapoti, bila nyinyi wala mimi si chochote.

Post a Comment

AddThis

 
Top