0



Kama alivyo ahidi siku chache zilizopita, KOFFI OLOMIDE kamtia Mbaroni Msemaji wa JB MPIANA  » MOSAKA « . kwa tuhuma ya Matusi, udhalilishaji, kumsemea Mtu neno la Uongo.

KOFFI OLOMIDE kasema Ataendelea kuwatatiza vikali sana wale wote waliothubutu kumpeleka polisi. Kasisitiza kipigo chake kitakua kikali Mnoo, Mawakili wake wameomba MOSAKA akatiwe kifungo cha miaka Mitatu.

Baba Mzazi wa MOSAKA BLANCHARD NA NDUGU ZAKE, WAMTAKA RADHI  KOFFI OLOMIDE, Wamuomba amfutie Mashitaka. Amchukulie MOSAKA kama Mdogo wake.

Post a Comment

AddThis

 
Top