ANGALIA VIDEO YA FERRE GOLA PIA KUNAMASHAIRI YA WIMBO HUU WA QUI VIVRA VERRA ”
Ah ngai nakoma konyokwama nga nakoma kosambwisa nzoto, /MATESO NIYAPATAYO ,YANIFANYA NIKONDE KABISA!!!
Ngai mobali kitoko boye nakoma mongambe ya bato / MIMI AMBE NIKIJANA MZURI LEO HII NACHEKWA VIBAYA NA WATU!!!
Tongo nga nabimaka na Ndako, Bato bayebi nga nakei kuluka eh,/ NIONDOKAKO NYUMBANI KWANGU ASBUHI,WENGI HUJUA NAENDA KAZINI!!!
Nzoka nakendeki kusenga kozonga na butu na mpamba eh / KUMBE KAZI YANGU NI OMBA OMBA,NA KUNA WAKATI MWENGINE NARUDI NYUMBANI USIKU BILA HATA KITU!!!
Bato bakoma kutuna Ngai,yango yo owutaka wapi eh / NDIPO WATU WAKAANZA KUNIULIZA,KWANI HUA NAJISHUGHULISHA NA NINI?!!!
Nalobaka na bangooo nazali mozangi / NIKAWA NAWAJIBU KWAMBA MIMI NI MASKINI,KABWELA ASIE NA KITU!!!
Soucis ekomi kosala ngai mpasi mingi namotema !! / NATESEKA NA MAWAZO MOYONI,SHIDA YAZIDI KUA NYINGI!!!
makanisi ekoyela ngai nakende kosimba ata kisi / HADI MAFIKIRA YANIJIA NIENDE BASI NIKAMUONE MGANGA WA JADI!!!
Bongo nazali komona kisi ezali natina mokote / BAADA YA KUTAFAKARI,NIKAONA MZIZI NTAKAOPEWA HAUTANISAIDIA NA CHOCHOTE!!!
Nakozela epayi ya Nzambe oyo eumelaka!! / NDIPO NIKAAMUA KUSTAHAMILI,NI MRUDILIE MUNGU WANGU,KWANI NDIE MUWEZA WA YOTE
Ngai nabotamaka libumu ya Mama se ngai moko te! / NA WALA TUMBONI MWA MAMA, SIJAZALIWA PEKE YANGU
Nzambe oyo opesi ngai nguya nasala nabokolo Maman / NAKUOMBA BABA MUNGU UNIJAALIE KWAKUNIPA NGUVU ILI NIPATE KUMHENZI MAMA YANGU
Papa oyo abati nga FERRE, atika ngai mpo Mwana / KWA BAHATI MBAYA, BABA YANGU MZAZI KAFARIKI, NA KANIACHA MIMI FERRE NIKIWA BADO MDOGO
Ngai malchance oh, nasala nini mpote baina ngaa!!! / BAHATI MBAYA GANI NILIYONAYO,NA WALA SIONI KIPI KIBAYA NILICHO KITENDA HADI WATU WANICHUKIE KWA KIASI HICHO!!!
Ba oyo Bawelaka vie ya pressée,tala basukaka se na nzela,/ KWA WALE AMBAO WALIYAKUMBATIA MAISHA YA HARAKA,WALIZIKOSA BARAKA,NAKUISHIA NJIANI
Ngai malembe malembe ti eh nakokoma eh / MIMI MWENDO WA KOBE,TARATIBU NAISHIA KUFIKA BILA TATIZO
Vie ya Mwana Mubali ezalaka nango se bongo eh! / MAISHA YA KIJANA MWANAUME NDIVYO YALIVYO
Ebandaka na Mpasi esukaka nango na bisengo eh! / MWANZONI MTU HUPIGWA NA SHIDA, MWISHOWE MTU KAJA KUFAANIKIWA
Ngai oyo nagi oyo,ngai oyo ngai oyo nga oyo ngai oyo nga nasambwa likilo ya mbongo ( mara tatu ) / MIMI KWA SASA, NADHALILIKA KWAKUA NI MKOSEFU TENA MASKINI.
Soki nakosi botuna YA NGIAMA ( WERRASON ), ye ayebi ndenge abandaki lelo Nzambe apambola ye, pourquoi Ngai FERRE te!! / KAMA NAKOSEA BASI MUULIZENI YA NGIAMA ( WERRASON ),MWENYEWE ANAJUA WAPI ALIPO ANZIA,LEO HII MUNGU KAMBARIKI,KWANINI NAMI PIA NISIBARIKIWE!
Soki nakosi botuna Mopao ( KOFFI OLOMIDE ) Papa na DIDI na DELPIRLO, lelo Nzambe apambola ye, pourquoi Ngai FERRE te!! /KAMA NAKOSEA BASI MUULIZENI MOPAO ” KOFFI OLOMIDE ” ( BABA YAKE NA DIDI NA DELPIRLO ),MWENYEWE ANAJUA WAPI ALIPO ANZIA,LEO HII MUNGU KAMBARIKI,KWANINI NAMI PIA NISIBARIKIWE!
Soki nakosi botuna Souverain ( JB MPIANA ) ye ayebi ndenge abandaki lelo Nzambe apambola ye, Maman LUSAMBO AGNES eh! / KAMA NAKOSEA BASI MUULIZENI SOUVERAIN ( JB MPIANA ),MWENYEWE ANAJUA WAPI ALIPO ANZIA,LEO HII MUNGU KAMBARIKI,MAMA LOSAMBO AGNES EH ! MAMA MZAZI WA JB MPIANA
Baleka na TV baloba na ba Radio,basala ba campagne ya mabe,nyoso babebisa vie na ngai kasi nazali mpe yuma te! / WANANIFANYIA KAMPENI MBAYA KWENYE RADIO NA TV,KWA MADHUMUNI YA KUNIHARIBIA MAISHA, WAJUE KABISA WALA MIMI SIO MJINGA!
Bakamati elongi na ngai batia ya Dragon mpo bakimisa Maman na caprice,kasi Nzambe a confonda,Je suis toujours en vie ! / WAMENITENDEA VIBAYA, ILI MUONEKANO WA USO WANGU UFANANE NA ULE DRAGON, ILA MUNGU KAWACHANGANYA, NA BADO NIKO HAI!
Kimya na Ngai, kimya ya Famille, Maman Marie abota ngai,alikisa nga kofinga te,ye mpe azali lokola Ngai!! TABIA YANGU YA UKIMYA NA UTULIVU, NI URITHI KUTOKA KWENYE FAMILIA, MAMA YANGU MZAZI MARIA,WALA HAJANIFUNDISHA TABIA YA MATUSI, YEYE PIA YUKO KAMA MIMI
Basala ba campagne baboma Marquis, bakotisa ba MASTA ba Boules ya mabe,Mpo babebisa vie nabiso Nzambe kaka ayebi!! WAMEPIGA KAMPENI MBAYA ILI GROUP LETU ” MARQUIS” LISAMBARATIKE,KWAKU WAPANDIKIZA CHEMBE CHEMBE MBAYA JAMAA ZANGU, WAKIWA NA MADHUMUNI YA KUTUHARIBIA MAISHA YETU, MUNGU MWENYEWE ANAJUA
Ngai oyo nagi oyo,ngai oyo ngai oyo nga oyo ngai oyo nga nasambwa likilo ya mbongo ( mara tatu ) / MIMI KWA SASA, NADHALILIKA KWAKUA NI MKOSEFU TENA MASKINI.
Post a Comment