WERRASON LE ROI DE LA FORET ( FLÈCHE INGETA ) KUTOLEWA HIVI KARIBUNI
TAARIFA ZILIZO TUFIKIA PUNDE, ZAONYESHA KUTOLEWA HIVI KARIBUNI KWA ALBUM ” FLÈCHE INGETA “
SHAMRA SHAMRA KUHUSIANA NA MAPOKEZI YA ALBUM HIYO INAYO SUBIRIWA KWA MIAKA MINGI SASA YAONEKANA KWA WA PAMBE WA IGWE JIJINI PARIS.
YAWEZEKANA MWISHONI MWA MWEZI HUU AU MWANZONI MWA MWEZI UJAO ” ALBUM FLÈCHE INGETA ” ITAWEKWA SOKONI !!!
Post a Comment