Baada ya mechi kati ya Brazil Vs Germany niliweka voting poll kuuliza nini chanzo cha Brazil kufungwa saba na Germany. Kutokana na mijadala mingi watu wengine walikuwa wanasema hakukua na mfungaji baada ya kukosekana kwa Neymar. Wengina wakasema hakukua na beki baada ya kukosekana kwa Silva na wengine walisema hakuna sababu ya msingi.
Kwenye hizo kura asilimia 53 walisema kukosekana kwa Thiago Silva ndio sababu ya Brazil kufungwa, asilimia 34 walisema hakuna sababu ya msingi bali Germany ni timu kali zaidi ya Brazil. Asilimia 13 tu walisema kukosekana kwa Neymar ndio sababu.
Kwa maoni haya inamaanisha kwamba Neymar Jr sio sababu ya Brazil kufungwa labda kukosekana kwa Silva ndio sababu au walizidiwa uwezo na uzoefu na kikosi cha Ujerumani.

- See more at: http://shaffihdauda.com/?p=3308#sthash.1p3qqbe8.dpuf Baada ya mechi kati ya Brazil Vs Germany niliweka voting poll kuuliza nini chanzo cha Brazil kufungwa saba na Germany. Kutokana na mijadala mingi watu wengine walikuwa wanasema hakukua na mfungaji baada ya kukosekana kwa Neymar. Wengina wakasema hakukua na beki baada ya kukosekana kwa Silva na wengine walisema hakuna sababu ya msingi.

Post a Comment