0




WAKATI dunia nzima ikisubiri kwa hamu nusu fainali ya pili ya kombe la dunia baina ya Argentina dhidi ya Uholanzi, wadau na wapenzi wa soka wameendelea kutoa utabiri wao.
Kila mdau anatoa sababu za kuipa timu fulani ya kuibuka na ushindi, japokuwa wataalam wa soka wakakwambia mpira ni dakika 90.
Jana Brazil wameingia katika rekodi mbaya zaidi ya soka la dunia baada ya kufungwa mabao 7-1 na Ujerumani na kuwa timu ya kwanza kufungwa mabao mengi zaidi katika hatua ya nusu fainali tangu kombe la dunia lilipoanza mwaka 1930 nchini Uruguay.
Mtandao huu umehojiana na baadhi ya wadau kutoka hapa nchini na nje ya nchi, lengo ni kutaka kujua ni timu gani inapewa nafasi ya kushinda.


“Mechi itakuwa ngumu ila Argentina kumkosa Di Maria ni pengo kubwa sana ambalo litaiathiri timu hiyo kama unavyojua mashambulizi ya Argentina yanamtegemea Messi na Di Maria, ila nategemea Uholanzi kushinda kama ilivyofanya katika fainali za mwaka 1998 kwasababu ina wachezaji wenye uchu wa magoli wakiongozwa na Robben na Van Persie kitu muhimu ambacho Van Gaal anachangamoto ni kuhakikisha safu yake ya kiungo inampelekea mipira zaidi Van Persie”.
Kuhusu uwezo wa mchezaji kuamua matokoea, Mkama anasema “yaah kweli, ila Uholanzi wako vizuri zaidi na fainali itakuwa nzuri wakicheza na ujerumani”.
- See more at: http://shaffihdauda.com/?p=3248#sthash.MSD5pmg8.dpuf
“Mechi itakuwa ngumu ila Argentina kumkosa Di Maria ni pengo kubwa sana ambalo litaiathiri timu hiyo kama unavyojua mashambulizi ya Argentina yanamtegemea Messi na Di Maria, ila nategemea Uholanzi kushinda kama ilivyofanya katika fainali za mwaka 1998 kwasababu ina wachezaji wenye uchu wa magoli wakiongozwa na Robben na Van Persie kitu muhimu ambacho Van Gaal anachangamoto ni kuhakikisha safu yake ya kiungo inampelekea mipira zaidi Van Persie”.
Kuhusu uwezo wa mchezaji kuamua matokoea, Mkama anasema “yaah kweli, ila Uholanzi wako vizuri zaidi na fainali itakuwa nzuri wakicheza na ujerumani”.
- See more at: http://shaffihdauda.com/?p=3248#sthash.MSD5pmg8.dpuf


Mechi itakuwa ngumu ila Argentina kumkosa Di Maria ni pengo kubwa sana ambalo litaiathiri timu hiyo kama unavyojua mashambulizi ya Argentina yanamtegemea Messi na Di Maria, ila nategemea Uholanzi kushinda kama ilivyofanya katika fainali za mwaka 1998 kwasababu ina wachezaji wenye uchu wa magoli wakiongozwa na Robben na Van Persie kitu muhimu ambacho Van Gaal anachangamoto ni kuhakikisha safu yake ya kiungo inampelekea mipira zaidi Van Persie”.
Kuhusu uwezo wa mchezaji kuamua matokoea, Mkama anasema “yaah kweli, ila Uholanzi wako vizuri zaidi na fainali itakuwa nzuri wakicheza na ujerumani”.
  

ARGENTINA OUT. Sometimes kiingereza kinaleta ladha kukazia kitu maana sioni njia ya Argentina kuepuka kichapo kutokana na beki zao kukatika sana, ingawa hawajafungwa goli nyingi ni kutokana na forward walizokutana nazo,  but kwa forward line ya Uholanzi sina shaka wanawatungua Argentina kilaini sana. Uholanzi 3 Argentina 1”. - 

“ARGENTINA OUT. Sometimes kiingereza kinaleta ladha kukazia kitu maana sioni njia ya Argentina kuepuka kichapo kutokana na beki zao kukatika sana, ingawa hawajafungwa goli nyingi ni kutokana na forward walizokutana nazo,  but kwa forward line ya Uholanzi sina shaka wanawatungua Argentina kilaini sana. Uholanzi 3 Argentina 1”. - See more at: http://shaffihdauda.com/?p=3248#sthash.MSD5pmg8.dpuf




Mi natabiri Argentina watashinda mechi ya leo japokuwa mechi itakuwa ngumu sana, ni nusu fainali ya pili inayozikutanisha timu zenye utamaduni tofauti kabisa wa soka, Argentina inayotoka bara la amerika ya kusini ikiwa na utamaduni wake wa soka,  lakinI pia uholanzi inayotoka bara la ulaya na falsafa tofauti kabisa na soka la Amerika ya kusini. Lakin pia tusisahau kuwa timu zote zinaundwa na nyota ambao wana uwezo binafsi ( individual talent) kama mchezaji bora wa dunia mara nne Lionel Andres Messi,  lakin pia winga wa fc Bayern munich mdachi Arjen Robben, hawa ndio wachezaji ambao kimsingi ukiachilia mbali ushirikiano wa timu ( team work) bado wanaweza kuamua mchezo huu. Lakin nazitazama safu za ulinzi za timu zote mbili nagundua kuwa safu ya ulinzi ya Uholanzi inayoongozwa na Vlaar itapata wakati mgumu sana wa kuwazuia washambuliaji Gonzalo Higuain na Sergio Aguero ambaye amerudi baada ya kusumbuliwa na majeraha. Hiyo ndiyo sababu ya msingi inayonipa kiburi cha kutupa karata yangu kwa Argentina kuwa ataondoka kidedea katika nusu fainali ya leo kaka
Mi natabiri kwamba mchezo utakuwa mgumu lakini kura nawapata Uholanzi kuibuka na ushindi katika mchezo wa leo”.   

Leo anakufa Holland anakufa 2………kwanza hofu imetanda juu ya Van Persie hayuko fit ukiangalia ni mmoja wa watu tegemeo, Argentina iliyoundwa kumzunguka Messi wana uwezo wa kupenya ngome yoyote kwani Messi ana uwezo wa kupunguza mabeki hata wa 3 na kurejea kwa kun Aguero ni boost kubwa kwenye kikosi cha Argentina na mwisho licha ya uhasama uliopo Amerika kusini, lakin natumaini atapata sapoti kubwa leo ili aweze kulibakisha kombe kwenye ardhi ya Amerika kusini 



Argentina haina tofauti kubwa na Brazil, wana tabia ya kumtegemea mchezaji mmoja(Mesi)..kwa ujumla timu ya Argentina ina makundi. Lakini kwa upande wa uholanzi, kuna watu hatari kabisa pale mbele…..roben & van Persie ambao wana wining mentality muda wote wakiwa uwanjani, vilevile wachezji wa Uholanzi hupenda kucheza kama timu(total football) kwa hiyo kwa mchezo wa leo Argentina ndo mwisho wake

Post a Comment

AddThis

 
Top