0



 Moja ya kichwa cha Binadamu ambacho kimetolewa katika moja ya Mifuko hiyo
Umati wa watu wakiwa wanashuhudia tukio hilo muda huu
Watu zaidi wakiwa wanaongezeka katika eneo la Tukio

Mpaka tunaondoka eneo la Tukio Miili ilikuwa imechukuliwa na Jeshi la Polisi kwa Uchunguzi zaidi, Taarifa kamili itatolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dar es salaam.picha zote kwa hisani ya Dar es salaam yetu blog

  

Post a Comment

AddThis

 
Top