0
Skylar Diggins ni mchezaji wa ligi ya kikapu ya wa wanawake WNBA ambapo anacheza kwenye timu ya Tulsa Shock akisimamiwa chini ya kampuni ya Jay Z ya kusimamia wanamichezo.

Kitu kinachoandikwa sana kwenye vyombo vya habari hasa internet ni kuhusu msanii Drake kushindwa kuficha mapenzi yake kwa mchezaji huyu mwenye miaka 23.


Drake amekuwa aki post mara nyingi kwenye ukurasa wake wa instagram kuhusu mapenzi yake juu ya Skylar Diggins. Drake anavaa mara nyingi jezi au t shirt zenye jina la Skylar Diggins.

Wakiwa kwenye tukio la ESPY Drake alikutana na Skylar Diggins ambapo dada huyo alimpa bonge la kiss na kuachia rangi yake ya mdogo kwenye paji la uso.



Post a Comment

AddThis

 
Top