0



Ujio wa sasa wa tarsis masela umeonekana kuiweka sawa jamii ambayo wakati mwingine inapotea au kujisahahu katika mambo mbali mbali

Prezdaa Masela Tarsisi amesema yeye haangalii wala hasikilizi wengine wanasmea nini bali anaangalia mashabiki wanataka nini na kuwapatia

Anasema muziki ni burudani na utamu wa burudani ni kumpa shabiki burudani anayoitaka kwa wakati na siyo kvinginevyo

Tarsisi masela nimuimbaji wa muziki wa dansi nchini tanzania wa miaka mingi ambaye amejizolea umaarufu kwa kiasi kikubwa nchini tanzania kupitia band ya accudo Impact

Tabia mbaya ni wimbo ambao unafanya vyema sana kwa sasa kutokna na mchanganyiko wa sauti tofauti na kuleta ladha tofauti za iafrika katika sebena la isasa
wimbo TABIA MBAYA FT MZEE YUSUPHU na aliyetia rap za maana ni rapper wa akudo Kitunguu swaumu dawa 

Post a Comment

AddThis

 
Top