Cristiano Ronaldo karibuni atakuwa YOUNG MONEY CASH MONEY BILLIONAIRE ... kwasababu vyanzo vya habari vimeiambia TMZ sports kuwa Lil Wayne anaanzisha kampuni yake mwenyewe itakayo kuwa iki manage sports na Roonald ndo atakae kuwa mteja wake wa kwanza.
Chanzo hicho cha habari kinadaikuwa Weezy kitambo amekuwa akitaka kujiingiza katika game ya sports management na macho yake yote yalikuwa kwa mkali kutoka portugak Cristiano Ronaldo na si tu kwasababu ni nyota mkubwa katika michezo lakini pia ni kwasababu ni marafiki wakaribu tu.
Inasemekana kuwa kampuni ya Weezy itakuwa ikifanya kazi na POLARIS SPORTS…kampuni ambayo ina uhusiano na shirika la CAA pamoja na GestiFute ambazo zinaendeshwa na agent wa Ronaldo Jorge Mendes
Chanzo cha habari kiliendelea kudai uwa kampuni ya Wayne itaanaglia na kusimamia maswala yote ya michezo yanayomuhusu Ronaldo marekani kuanzia Branding mpaka kwenye upande wa masoko pamoja na endorsement deals mpaka hata modeling.
Inaonekana Ronaldo amefurahishwa na kufaya kazi na Wayne, bada ya ku post picha akiwa Waziri Mkuu wa Japan pamoja na wanasiasa wengine na wote wakiwa waepoz na kutupia saini ya YMCMB
Post a Comment