0

KAMPUNI ya kutengeneza vifaa vya michezo ya PUMA imezindua viatu vya EvoPOWER kwa ajili ya kombe la dunia mwaka huu nchini Brazil.
Viatu hivyo vimezinduliwa na wachezaji nyota wawili,  Mario Balotelli wa Italia na Cec Fabregas wa Hispania.
Viatu vya Puma
Wachezaji wa Arsenal wakitumia viatu vya Puma katika mazoezi
Daluga za Puma ni moyo mwingine
Jamaa katinga buti za Puma tayari kwa kazi
    

Post a Comment

AddThis

 
Top