Mmiliki wa timu ya mpira wa kikapu ya LA Clipper Donald Sterling, amefunguka kwa mara ya kwanza exclusive kuhusu tape iliyovuja ikiskika sauti ya maongezi yake na girlfriend wake V,Stiviano, akitoa maneno ya kibaguzi dhidi ya watu weusi.
Sterling ameongea yote katika kipindi cha 360 kinachoongozwa na mtangazaji Anderson Cooper.
Home
»
» Unlabelled
» Mmiliki wa LA Clippers Donald Sterling ameongea exclusively na CNN kuhusu coments zake za kibaguzi dhidi ya watu weusi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment