0
masaa machache baada ya mtandao wa TMZ kutoa video inayomuonyeasha dada wa Beyonce "Solange" akimshindilia mangumii Jay Z ndani ya lift, Jay na Beyonce wameonekana pamoja katika game ya kikapu ya Brooklyn Net, wakicheka pamoja kama hakuna kilichotokea.

 Wakionekana kutokujali kinachoongelewa katika media mbali mbali, Jay na Bey walionekana pia kupiga story na mchezaji wa Miami Heat, Lebron James









Post a Comment

AddThis

 
Top