Mume wa dada yake Kim Kardashian "Lamar Odom" amekutana na dhalilisho ambalo hakutegemea katika maisha yake baada ya kukataliwa kuingia Club aliyokuwemo Mke wake "Khloe Kardashian" na
Yote hayo yametokea Penthouse, ambapo Lamar allikuwa akiingia Club hiyo akiwa na washkaji zake. Lakini Lamar alikutana na miamba miwili. French Montana na Khloe Kardashian"
Lamar na marafiki zake walisimamae ple mlangoni kwa muda na kuamua kuondoka kushindwa..Muangalia Lamar akijibu kwa hasria baada ya mtu mmoja kutaja jina khloe kardashian.
French Montana alikuwa ni special guest siku hiyo katika Club hiyo, hata alituma kpicha yake na Kim Kardashia katika account yake ya Instagram na maandishi yanayosema "Shout out to my BFF @kimkardashian for coming out tonight party was turnt up."
Haijajulikana wazi kama Khloe au French wanahusika na chochote juu ya kukataliwa kwa Lamar kuingia ndani, lakini kulikuwa na Camera crew kubwa kutoka E....ambao walitokea kuwa nje wakimchukua video Lamar alipokuwa mlangoni akikataliwa
Kumbuka jamaa bado yupo katika mkataba wa kuonekana katika reality show ya "the Kardashian"....na kwa kuwa yeye na mke wake Khloe hawajapeana talaka, dalili zote zinaonyesha Lamar anahusika katika hili lililotokea.
Usiku wa Lamar lakini haukuwa mbaya kiiiiiivyo, alikuwa na bahati nzuri alipofika Lure, mile chache kutoka club alipokataliwa.
Post a Comment