Brand New Single: Sina Muda - JCB, Fid Q & Kala Pina
Akiwa Sweden, JCB leo hii ametambulisha wimbo wake mpya "Sina Muda" akiwa na Fid Q na Kala Pina
Wimbo huu aliu-record wiki moja kabla ya kuondoka kwenda Sweden , na producer Black Slim kutoka Arusha....
Sikiliza hapa chini.
Post a Comment