0


Bilionea wa Marekani Howard Buffet ametumia siku zake tatu za mapumziko kutembelea Ngorongoro  Crater na  Serengeti baada ya kuvutiwa na utalii wa Tanzania alipotembea nchini mwezi mmoja uliopita.

Mara yake ya mwisho alipotembelea Tanzania mwezi March, Howard ambae ana passion na maswala ya Conservation alichangia helicopter mbili kwa serikali ambazo zitatumika katika kukomesha ujangili katika sehem zinazolindwa.

Kupitia uwanja wa ndege wa Kilimanjaro, Howard aliekuwa ameambatana na mkewe, lipokelewa na mwenyeji wake, Waziri wa maliasili na utalii, Mh Lazaro Nyalandu
 naweza kuruka juu kama Maasai...Buffet ameonekana akisema hivyo
ngoja tuone nani anaweza kuruka juu kuliko mwenzie lol


Mh Lazaro Nyalandu akimkabidhi tuzo ya swala katika uwanja wa ndege wa KIA
 

Post a Comment

AddThis

 
Top