China imeingiza msaada wa vitu mbalimbali ikiwa ni pamoja na madawa, vifaa tiba na wataalamu.
Vifaa hivyo vimewasili uwanja wa ndege nchini Ghana na vinatarijwa kusambazwa Guinea, Liberia na Sierra Leone ndani ya siku chache baada ya kuwasiliChina yaongezea nguvu mapambano ya Ebola
Tumesikia mara nyingi tangu kulipuka kwa ugonjwa wa Ebola Afrika Magharibi, nchi za Ulaya na Marekani zikitoa misaada ya kukabiliana na ugonjwa huo, leo China nayo inakuwa moja ya nchi zilizoweka nguvu kwenye jitihada za kusaidia kukabiliana na Ebola.
Post a Comment