0
amoja na kwamba sasa hivi Weezy yupo kwenye headlines tena kwa kuwa na tetesi za kuwa mapenzini na msanii Christina Milian mke wa zamani wa msanii The Dream, naona wameamua kuishusha list ya Warembo ambao jamaa amewahi kuwa nao time hizo.

Hawa ndio wanawake 9 aliwahi kuhusika nao mapenzini waziwazi na wengine zilibaki kuwa tetesi.
Adrienne Bosh alikuwa na mapenzini na Lil Wayne kabla hajaolewa na mcheza kikapu Chris Bosh
 Huyu ni video model Karrine Steffans ambaye alikuwa na uhusiano wa wazi kabisa na Lil Wayne
 Actress Megan Good alikuwa kwenye uhusiano na Weezy kwa muda wa miaka 3
  Skyler Diggins zilikuwa ni tetesi kwamba ana uhusiano na Lil Wayne
 Rapper Trina aliwahi kuwa na uhusiano na Weezy hadi aliwahi kupata ujauzito wake lakini bahati mbaya ujauzito uliharibika.
 Uhusiano wa Lil Wayne na muigizaji Lauren London ulileta matunda ya mtoto Cameron Carter
 Lil Wayne alimvisha hadi pete Nivea mwaka 2002
 Huyu ni mama wa mtoto wa kwanza wa Wayne anaitwa Reginae
 Hivi sasa tetesi za Lil Wyne kuwa mapenzini na huyu Christina Milian ndio zinamiliki headlines.

Post a Comment

AddThis

 
Top