Siku mbaya kuliko zote kwenye kombe la dunia la 2014 ilikuwa siku Brazil walicheza na Colombia na kuibuka na ushindi kwa gharama kubwa ya kumpoteza mshambuliaji Neymar kwa michezo yote iliyokuwa imebaki kwenye kombe la dunia. Kwenye dakika ya 86 MColombia Juan Zuniga alimgonga na goti Neymar kwenye mgongo na kuvunja mfupa wa mgongo ‘vertebrae’. Jeraha ndilo lilifanya Neymar Kutoendelea kucheza kwenye kombe la dunia. Kwa sababu ya uwezo wake mkubwa, kufanya kazi vizuri na timu yake , pasi nzuri na umaliziaji mzuri golini haya ndio magoli Kumi Bora Ya Neymar Kabla Ya Kujiunga Na Barcelona.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment