JAJA` WA BRAZIL KUTUA YANGA SC LEO
Mshambuliaji Mpya wa Young Africans SC mbrazil Geilson Santos Santana “Jaja” anatarajiwa kuwasili leo jijini Dar es salaam akitokea nchini Brazil majira ya saa nane kamili mchana tayari kwa kuanza kazi mitaa ya Twiga na Jangwani
Post a Comment