0
Taarifa kutoka Iringa mwishoni mwa wiki iliyopita zinasema kuwa rapa kutoka 87.8 Mbeya  Izzo B amempiga underground ambaye nae ni kutoka hukohuko Mbeya ambaye walikutana Iringa,



Kisa kolabo aliomba underground huko yanda za juu
Produza ambaye anammeneji dogo stana alimchukua akampeleka hotel aliyofikia izzo kwa lengo la kufanya kolabo

Sasa stana na izzo wakapishana Kiswahili na izzo akampiga sana Yule dogo kiasi Yule dogo stana akazimia hayo ni maelezo yaliyotolewa na produza wa stana
Dogo stana alikuwa kalewa akawa anashindwa kuelewana na izzo ni topic gani waitumie ili waweze kwenda sawa

Ni kwamba izzo alikuwa akimshauri stana idea ya kufanya na stana akawa anamwambia izzo kwani we umekuja na kipi cha kufanya na mimi kama kejeli na dharau katika kuonyesha kwamba idea aliyokuwa anapewa na zizo aliidg\harau ndio maana akamjbu shombo ndipo izzo uzalendo ukamshinda akasusha kichapo

Kichapo cha izzo kiliplekea dogo stana vujisha damu na kuzimia
Lakini baada ya stana kupigiwa  cm akasema yeye hajapigwa na izzo na wqla hana kidonda bali anamshangaa izzo anavo bang kuwa kampiga
Na Anachosema stana kuwa aliguswa tu na izzo na anashangaa zile damu zimetokea wapi 

Mwisho stana aksema yeye ni mwanaume hawezi kupelekwa eti kisa mtu ni mkubwa au katoka kimuzi kabla yake bali anahitaji ku feel aidia ili ainjoy muziki wake 

IzzoBusness alipopigiwa cm yake ya mkononi haikupatikana
BHAAAAASSSSS


Post a Comment

AddThis

 
Top