0
Rapper wa Young Money Drake anasema Yeye na J Cole ndio Wafalme wa muziki wa Rap Marekani.
Drake amesema haya baada ya kufanya show na Rapper J Cole ambayo pia rapper Kendrick Lamar alikuwepo kwenye ziara hio ya “Dollar & A Dream” .

Ripota wa kituo cha radio cha Los Angeles Power 106  Rikki Martinez amesema Drake alipanda kwenye jukwa na J Cole wakati Kendrick Yupo back stage na kusema kuwa “Kuna wafalme wawili kwenye rap game kwa sasa ambao ni Yeye ‘Drake’ na J Cole”.

Post a Comment

AddThis

 
Top