Baada ya kuwashuhudia wadogo zake wakifunga ndoa hatimaye Jude Okoye kaka wa Peter na Paul wa P Square amefunga ndoa na mchumbwa wake Ifeoma Umeokeke.
Jude Okoye ameshiriki kwenye kazi nyingi za P Square hasa kwenye ku-direct video zao za mwanzao kabisa. Hivi sasa amemuoa Ifeoma ambaye alikuwa Miss Tourism 2012.
Post a Comment