0
Akiwa namba 16 kwenye orodha ya wasanii wa hiphop waliolipwa pesa nyingi zaidi mwaka huu kwa kulipwa dola million 8, Ludacris ametangaza ujio wa album mpya kupitia twitter. Ni miaka minne imepita toka ametangaza ujio wa album mpya iliyopewa jina Ludaversal. Album hii inatoka kupitia studio za Def Jam na mpaka sasa tarehe iliyoripotiwa ni March 31, 2015.

 Nyimbo zilizotoka ni pamoja na  Jingalin, Representin na Rest of My Life 


Post a Comment

AddThis

 
Top