0
                                Run DMCToka miaka ya 80 wasanii wemakuwa na kofia tofauti zinazo watofautisha na wasanii wengine, LL Cool J ,Run D.M.Cwaligundua kofia aina ya bucket hat ambayo kwa sasa anavaa sana Schoolboy Q. Hizi Picha za wasanii wengine wenye tamaduni ya kuvaa kofia ya aina moja

Ll Cool J
Notorious B.I.G
Picha nyingi za Andre 3000 utamkuta amevaa hizi kofia
Pharrell Williams Na Kofia Yake Ya Iliyofanya Vizuri Baada ya wimbo Happy

Post a Comment

AddThis

 
Top