0





               Hu ndi mjengo wa madee maeneo ya mbzi jijini dar es salaam

Raisi wa Manzese, Madee anatarajia kuhamia Mbezi sasa, na huko sijui kama atakuwa Raisi au vipi. Nasema hivyo kwasababu Madee ameonyesha picha ya mjengo wake uliokamilika kwa asilimia kubwa uliopo maeneo ya Mbezi jijini Dar.

kukamilika kwa mjengo huo kumetokana na mafanikio makubwa aliyoyopata baada ya kukubalika kwa single yake "Pombe Yangu"

Hatujajua wimbo juo umeuza nakala kasi gani mpaka ajnge nyumba hiii

Na hiki ndicho alichokiandika madee 
"siri ya utajiri ni ubahiriii#hahaha welkam white houze@mbezi dsm#"

Post a Comment

AddThis

 
Top