NDIVYO WERRASON NA GROUP LAKE WALIVYO WASHA MOTO KWENYE HOTEL INVERSE JIJINI KINSHASA WEEKEND ILIOPITA
KWAKWELI WALIJIPANGA VIZURI, NA REPPA BERCY MWANA KAZIDI KUONYESHA MACHACHARI YAKE!!!
WERRASON KAONEKANA MWENYE FURAHA SAANA, MARINGA WAMEISAKATA KWA UHAKIKA!!!
DAAH,,UMSIKILIZE BERCY MWANA ANAVYO TATARIKA MANENO MENGINE YANAYOLETA UTATA !!!
” MAKAMBO OSALI NGIAMA YOO OZA NDOKI ” / KWAY ALE ULIOMTENDEA NGIAMA ” WERRASSON ” BASI WEWE NI MCHAWI
SHETA AZOYOKA TEE ,MOKOLO AKOMONA AKOYOKA / HUYU SHETA ” FERRE GOLA ” MBONA HASIKII, IPO SIKU ATAKIONA CHAMTEMAKUNI
Post a Comment