Mwandishi huyo aliyetajwa kwa jina la Steven Sotloff mwenye umri wa miaka 31 alitekwa na wapiganaji hao mwezi August mwaka jana.Mwezi uliopita Sotloff alionekana mwishoni katika picha za video zilizoonyeshwa kuhusiana na kuchinjwa kwa mwandishi mwingine wa Marekani James Foley.
Katika video hiyo iliyopachikwa hapo chini, mwandishi huyu anaonekana kuuawa na mtu anayemruhusu kutoa semi yake ya mwisho.
Sotloff ambaye katika video hiyo amevalia magwanda ya rangi ya chungwa akiwa amepiga magoti anasikika akisema kuwa:
'Obama, your foreign policy of intervention in Iraq was supposed to be for preservation of American lives and interests, so why is it that I am paying the price of your interference with my life?.''
CLICK HAPO CHINI UTAZAME VIDEO
Post a Comment