Hii stori ilianzia hapa hapa millardayo.com baada ya Tunda Man kusema kuwa amepigiwa simu na namba asiyoijua na kisha baada ya kuongea nae akaanza kuhisi hali ya utofauti katika mwili wake.
Soudy Brown kaenda mbali zaidi kwa kuipiga ile namba kisha kuwapigia mamlaka ya mawasiliano Tanzania TCRA kwa ajili ya muongozo juu ya hiyo namba.
Home
»
» Unlabelled
» UNAKUMBUK ALILE SAKATA LA SIMU KWA TUNDA MAN ILIYOMFANYA AUMWE MWENYE ILE NAMBA KAPATIKANA..BONYEZA USIKILIZE
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment