SIKILIZA UPANDE WA PILI WA ILE HEKE HEKA YA YULE MJANE ALIYEFUKUZWA NA NDUGU WA MUME WAKE..
Hekaheka ilianza kusikika upande wa kwanza ambao ulimhusu Mjane ambaye alisema amefukuzwa kwenye nyumba aliyokua akiishi na mume wake na ndugu wa mume wake siku 3 baada ya mazishi.
Leo wameongea ndugu wa Marehemu pamoja na watoto wa marehemu kwa sababu mama huyo hakufanikiwa kupata watoto na marehemu mume wake
SIKILIZA HAPA
Post a Comment