DODOMA PANAWEZA KUWA KIVUTIO CHA WATALII
Huu ni mbuyu ambao upo eneo la Kisasa karibu na ofisi za radio mwangaza fm mjini dodoma kama pakitokea wawekezaji wakashirikiana na wenyeji basi dodoma inaweza kuwa kivutio kingine ukiacha Arusha na maeneo mengine

Post a Comment