0

 imekuwekea U Heard ya leo Jan 22, wanaohusika kwenye story ni wasanii wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee ‘Vee Money na Jux  ambao Soudy Brown aliwatafuta kutokana na story kwamba wawili hao wameonekana wakiwa karibu sana wakati walipoenda kufanya show Zanzibar.
Soudy Brown alimtafuta Vanessa na kumuuliza juu ya tetesi zinazoendelea kuenea pamoja na picha walizopiga wakiwa Zanzibar, Vee hakujibu kitu na kukata simu, alipomtafuta Jux yeye amesema wao ni marafiki tu wa kawaida kwa kuwa wanashirikiana kwenye kazi.
Huwa unaenjoy  kusikiliza U Heard? Sauti ya hii ya leo iko hapa, bonyeza play kuisikiliza


Post a Comment

AddThis

 
Top