0
Uongozi wa Yanga ulikuwa kwenye wakati mgumu kwenye kuamua nani aondoke kati ya Wabrazil wawili, Emerson na Coutinho.

Lakini mwisho inaonekana panga limemuangukia Emerson ambaye ameichezea Yanga mechi moja tu ya kirafiki dhidi ya Simba.

Kiungo huyo mkabaji alicheza kama kiungo mshambuliaji na kushindwa kung’ara.

Hali ambayo imewafanya Yanga waamue kumtupia virago.

Post a Comment

AddThis

 
Top